Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalumu na ya kipekee na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikitambua mchango wake mkubwa na maono yake kama kinara wa mabadiliko ya kiuchumi na mifumo ya kifedha nchini.
Tukio hilo limejiri leo Juni 12, 2026, katika Kituo...