bohari ya dawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Dkt. Philip Mpango: Tuwe na mfumo madhubuti wa kudhibiti dawa kuepuka wizi

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amesema utunzaji hafifu wa kumbukumbu za dawa na vifaa tiba katika hospitali na vituo vya afya unachangia kusuasua kwa usambazaji wa dawa kutoka Bohari Kuu ya Dawa (MSD), na pia kufungua mianya ya wizi na matumizi mabaya...
  2. Pfizer

    Mkurugenzi wa MSD: Tanzania ina ARVs za kutosha, tumeshafanya maandalizi

    https://www.youtube.com/watch?v=Wok58GcHwLs Bohari ya Dawa (MSD), imesema kuwa Serikali imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika. Mapema mwaka huu, mara baada ya kuapishwa...
  3. Just Pray

    Jenista Mhagama: Ujenzi wa bohari ya dawa Dododma umefikia asilimia 95%

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Tsh. bilioni 23.7 umefikia 95%. Mhagama amesema hayo leo February 6, 2025 wakati akikagua ujenzi wa ghala hilo...
Back
Top Bottom