bodi ya ligi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania LIVE: BODI YA LIGI inatangaza ratiba, Simba na Yanga December 11

    hapa ni ukumbi wa TFF
  2. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya TFF kwa Bodi ya Ligi ni ya kutuandaa Kisaikolojia Wadau wa Soka nchini kwa Taarifa yao inayokuja siku si nyingi

    Baada ya TFF kuona Mechi za Nusu Fainali ya ASFC zinahusisha Timu Kubwa na zenye Ushawishi nchini Simba, Yanga, Azam na hata Biashara United FC tayari Krav Maga nimeshtukia Jambo. Barua kutoka TFF kwenda kwa Bodi ya Ligi ( TPLB ) jana kuwa ihakiki Viwanja vya Ali Hassan Mwinyi ( Tabora )...
  3. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yatoa tamko kuhusu sakata la mechi ya Simba na Yanga

    Kile kilichotokea Jumamosi ya tarehe 8 na kauacha sintofahamu mpaka mda huu idara husika zinazidi kuchanganya wapenda kabumbu kwani TFF wanadai ilipokea taarifa kutoka bodi ya ligi leo hii bodi ya ligi inadai TFF, tusubirie kikao cha leo.
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya habari, TFF na Bodi ya ligi Mpira wanatakiwa kujipima kama bado wanastahili kuwepo kwahili la Game ya Simba vs Yanga

    Wizara ya habari na utamaduni kwa kushirikiana na TFF kupitia Bodi ya ligi Tanzania wanatakiwa kujipima kwamba bado wanastahili kusimamia michezo hasa Mpira kwa kipindi hiki na kuendelea? Weledi wao umeonekana bado haukidhi mahitaji ya kuendeleza michezo hasa soka kwa kutokuwa na Nia njema...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TFF, bodi ya ligi na ligi kuu Tanzania

    Habari 👋 Siku ya leo nimeona vyema nizikumbushe mamlaka za soka nchini Tanzania katika masuala kadhaa, nitumaini langu baada ya ushauri huu utekelezaji utaanza na msimu mpya 2021/2022 tutashuhudia makubwa na yaliyokuwa bora. Nimekuwa mfuatiliaji wa masuala mbalimbali lakini mpira wa miguu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…