bm150

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jackpiano

    Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  2. Mme Mwenza

    Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

    Hakika ipo gudi sana. Inanipa kilometer 135 kwa mafuta ya elfu 6,000. Ukiachana na vipuri vyake adimu kuvipata ila hizi pikipiki zipo vizuri sana Ukijali umwagaji wa oil na filter kubadili kwa muda mwafaka, kwa fundi matengenezo mengne utayasikia tu kwa wengine.
Back
Top Bottom