Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza. Tulivyofika chuo tulipaswa kulipia bima ya afya 50400, lakini mpaka sasa hatujapatiwa hizo bima na semister inaenda ukingoni.
Tulivyojaribu kufatilia walisema kuna namba za bima tutapewa zitatumika kipindi ambacho tunasubiri bima, lakini pia...