biashara ya umachinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hii ndio sababu Machinga hawatakiwi kuuza sehemu zenye maduka

    Gharama za mwaka MACHINGA Rushwa kwa mgambo - 50,000 Fremu - Shilingi sifuri Kodi ya Fremu kwa TRA - Shilingi sifuri Kodi ya biashara TRA - Shilingi sifuri Leseni ya Jiji - Shilingi sifuri Service Levy - Shilingi sifuri Taka - Shilingi sifuri Umeme - Shilingi sifuri kodi ya ulinzi shirikishi...
  2. kavulata

    Kariakoo tuwaache wachina watufundishe biashara

    Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa...
  3. MIRA01

    Watu wa mataifa mengine hasa Wachina kufanya biashara za umachinga ni kuua soko la wazawa

    Hii sijui niite ujinga ama ubinasfi au kukosa kabisa maarifa juu ya upendo wa nchi yako au kwa jamii yako kabisa? Kuna hili sakata kwa sasa kwa wageni haswa wachina wamekuwa wengi sana hapa nchini na. Mbaya zaidi wanafanya kazi za wazawa tena zile za chini kabisa, nazungumzia umachinga Unakuta...
Back
Top Bottom