Kama una mtoto, mnunulie pool table mfundishe kucheza umnoe kila siku, hadi anakuja kufikisha miaka 18 anakua amebobea, anakua unbeaten ambapo kwa uhakika atakuwa GOAT wa pool table.
Baada ya hapo aanze kwenda ku challenge wengine kwenye pool table za mashindano kuingiza 80k hadi 100k kwa siku...