biashara ya nguo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo kwa mtaji wa Tsh. milioni 1

    Habari za humu ndani ndugu zangu. Katika hali ya kuchakarika na kutafuta maisha hatimaye leo nimekuja na wazo langu ambalo nahitaji msaada toka kwenu wadau au kama kuna wazo zuri zaidi ya hili unaweza pia nishauri. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya nguo za wadada na watoto, kwa mzoefu au...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo kutoka Vietnam

    Ndugu zangu, kwa uzoefu wangu nimegundua Vietnam wana nguo nzuri sana (kike na Kiume) na bei zake pia ni nzuri. Natamani sana kufanya biashara ya kuuza nguo kutoka huko. Naomba kwa wenye uzoefu namna ya kupata mzigo maana nimeambiwa hatuna ubalozi wa Vietnam hapa Tanzania. Je process za kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…