biashara ya mtumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. thriftwaika

    Nguo za Mtumba kwa jumla na Rejareja

    Jina la biashara ni thriftwaika au kwa namna rahisi Waika Mitumba Ni wauzaji wa nguo za mtumba za kike na watoto kwa bei ya jumla na Rejareja Tunaouzoefu wa miaka zaidi ya minne (4) kwenye biashara hii..Na kwa uzoefu wetu tunatambua kuwa hitaji kubwa zaidi kutoka kwa watu kwenye bidhaa hizi za...
  2. hon daniel killion

    Biashara Ya MTUMBA Grade 1

    Habari wakuu, Natumai wote ni wazima. Nimepanga kuanzisha biashara ya kuuza nguo (hasa T-shirts za kiume na kike - Grade 1 A). Lengo langu ni kuanzisha duka lenye muonekano wa kisasa na bidhaa bora kwa vijana wa mjini. Nahitaji ushauri na mawazo mapya kuhusu mambo yafuatayo: 1. Njia bora ya...
  3. Justine Mitumba

    Biashara ya mtumba

    . Kutokana na changamoto za ajira nashauri vijana wale ambao hamna kazi mtumie mitandao ya kijamii vizuri tafuta mfanyabiashara anayekuamini mwenye uwezo wa kukupa mzigo wa mali kauli ukihitaji ushauri wa biashara ni FOLLOW Justine mtasiwa au Justine mitumba tunauza mitumba jumla na...
  4. Fatuma yuso

    Jinsi ya kupata meza ya kukodi Tandika tupeane mlolongo, nataka kufanya biashara

    Habari zenu WanaJF, Nauliza kwa anayejua jinsi ya kupata meza ya kukodi Tandika au Mbagala, nataka kuanza biashara ya mtumba.
  5. Roseyree

    Je’ unataka kufanya biashara ya mtumba na hujui Machimbo ya kupata nguo quality njoo nikuelekeze au kukupeleka kwa bei nafuu

    Karibuni jamani niwaelekeze sehemu za kupata mitumba safi hasa kwa wale wenye vipato vidogo na unataka kuanza biashara usisubiri hadi upate mtaji mkubwa unaweza anza na kidgo nitakuonesha sehemu nzuri ambazo unaweza pata nguo hadi kwa 300 au 500 unakwenda kunuosha na kuuza bei ambayo itakupa...
  6. Benews

    Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

    Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma. Kwetu Ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home Sina hili Wala lile umri unaenda na Wala...
Back
Top Bottom