Habarini wadau: Kama ulifatilia thread yangu ya April , Niliomba ushaur wa kuchkua mkopo wa Milion 30 kwajili ya Biashara ya mahindi na mkanipa ushaur mzur na nikatekeleza na wapo walionirudisha nyuma pia ila Nikaona hizi ni changamoto za kawaida.
Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30...
Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza.
La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni...
Habari!
Nina mahindi gunia 25 za mahindi, zipo mbinga, Ruvuma. Kwa sasa bei sokoni ipoje? Au naweza kupata makampuni ili kuwauzia mzigo wote kwa pamoja? Au naomba ushauri, niuze kwa namna gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.