Wakuu
Nimewaza tu hivi hili gazeti halina wahariri pamoja na cross checkers? Au hawa walikuwa wanawahi wapi to the point wamefanya kosa la wazi kama hili?
========
Gazeti maarufu la Kiingereza nchini Pakistan, Dawn, limeingia kwenye headlines duniani baada ya prompt ya ChatGPTkusahaulika...