biashara ya hardware

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    NAKODISHA ENEO LA BIASHARA YA HARDWARE NA VIFAA VYAKE .ie Godown, machine za blocks, office, sehemu ya mbao.

  2. E

    Ushauri kati ya biashara ya hardware au pharmacy wholesale

    Habari wandugu Je kwa mtaji wa 50-65 ml ni biashara gani nzuri kufanya kati ya pharmacy na hardware. Natakuliza shukrani
  3. Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Habari wakuu, Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
  4. F

    Nafasi ya kazi kusimamia biashara ya hardware

    Habari, Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya hardware hasa katika'; Ku apply Tender katika mtandao wa nest Ku tafuta masoko ya bidhaa zilizopo Ku tafuta potential suppliers Ku tuma sales and purchases report kupitia excel tool etc Biashara ipo kibaha, kwa mawasiliano tuma mail through...
  5. Acha wewe, ku-run hardware inahitaji nguvu mno, yani unakuta kabox kamoja kenye bidhaa aina tatu tu za jumla ni lakini nane

    Ndio maana wengi wanakimbia ukanda huu wa biashara Unakuta unakosa nguvu na kuwa na variety nyingi dukani za kuvuta wateja wasiondoke kwa maana wasikose bidhaa fulani dukani kwako Kwa hio kama unaingia katika sekta uwe vizuri financially, tofauti na hapo utakaa ndani unahesabu mabox.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…