Kuna uzi flan ulianzishwa na mdau flan akiponda biashara ya kumkabidhi mtu bajaji ya abiria akuletee 20000/day kwamba ni biaashara kichaa na ya kijinga sababu kubwa ikiambatanishwa na bei ya bajaj kuwa ghari kulinganisha na kinachoingia,sasa hapa pia nilitaka kufahamu,vipi kuhusu GUTA (pikipiki...
Wakuuu naombeni ushauri,
Naona kazi ya barabarani sio nyota yangu mambo hayaendi risk haziishi
Napitia wakati Mgumu kufanya maamuzi kuacha hii biashara ya bajaji na kuanza biashara nyingine ya kuuza madela, vijora na kanga maan pia sina uhakika
Hivi ni sawa kweli niuze hii Bajaji alafu niingie...
Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.