Nashindwa kuelewa kabisa hizi benki zetu, ukiingi unakuta dirisha Moja au ukibahatisha mawili tu ndio yanafanya kazi Kati ya matano, na wateja kwenye foleni ni wengi.
Nashindwa kuelewa kinachowafanya kushindwa kuajiri nguvu kazi ni nini?
Ni ukosefu wa nguvu kazi mtaani? Hapana, vijana mtaani...