benki ya exim

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    Benki ya Exim Tanzania Yaleta 'Elite Banking' Arusha na Kilimanjaro

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akizungumza na wateja wake kuhusu kuisogeza huduma ya Elite Banking kwa wateja wa Arusha na Kilimanjaro, huduma inayowapa wateja fursa za kipekee za kifedha, ushauri wa kitaalamu, na upatikanaji wa huduma za kibinafsi...
  2. Blasio Kachuchu

    Miaka 28 ya Benki ya Exim Tanzania: Safari ya Ukuaji, Ubunifu na Kusonga Mbele Pamoja na Wewe

    Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Jaffari Matundu (kulia), akikata keki wakati wa maadhimisho ya miaka 28 ya benki hiyo yaliyofanyika makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2025. Kushoto ni Eugen Massawe, Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi ya benki hiyo. Afisa Mtendaji Mkuu...
  3. Blasio Kachuchu

    Benki ya Exim yafanya Kampeni ya uchangiaji Damu nchi nzima kuimarisha sekta ya Afya

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imefanikisha kampeni ya nchi nzima ya uchangiaji damu. Zoezi hili muhimu...
  4. Blasio Kachuchu

    Benki ya Exim yakabidhi madarasa kwa Shule Mbili za Sekondari Mkoani Kigoma

    Mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Ngayalina (kulia), ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Kigoma na Bw. Stanley Kafu (kushoto), Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa madarasa yaliyojengwa na benki hiyo katika shule mbili za...
  5. G

    Msaada wa kufungua akaunti benki ya Exim

    Habari wadau, Naomba kuuliza kwa aliefanikiwa kufungua akaunti Exim bank kupitia simu anisaidie. Maana mimi nimedownload app yao lakini kufungua akaunti imekuwa kimbembe.
Back
Top Bottom