Mambo ya kukumbukwa zaidi kwenye uchaguzi bandia oct 29 ni polisi kuonekana mitaani wakipiga kampeni na kurusha chopa yenye bendera ya CCM
Mambo ambayo sio majukumu ya kipolisi na yanachochea ubaguzi na umoja wetu kwenye utofauti wa kisiasa.
Ndugu zangu Watanzania,
Ukweli Mchungu ni kuwa Kwa kazi kubwa iliyokuwa imefanywa na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Ilimfanya na kufanya kukosekana kwa mbadala wake wa kupeperusha Bendera ya CCM hata kama angekuwa hahitaji...
Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika.
Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona.
Kitendo hiki...
Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya...
Wakuu
Vijana Wachoma Nyama Mbande Mkoani Dodoma wapaza Sauti kwa Rais Samia na Kumwomba Siku Moja apite Mbanda wanapochoma Nyama awashike Mkono kwa kile wanachokifanya, Vile vile pia wametambua Mchango wa Serikali kwenye Miradi yote iliyofanyika, Na pia Wameomba Wapatiwe Bendera za Chama Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.