bei ya mafuta kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chilewesa: Aliyesema tuna akiba ya Mafuta ya miezi mitatu ameichonganisha Serikali, amezua taharuki, waachieni Wanasiasa waongee

    Akichangia Bungeni Aprili 8, 2026, Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Eng. Ezra Chilewesa. "Tunaomba wanaotoa matamko serikalini, kama ni mtendaji huna experience ya kuongea, sisi wanasiasa tuna experience, waachieni wanasiasa waongee na wananchi, kwa sababu wana uzoefu wa kuongea na wananchi, na...
  2. Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa

    Bei ya mafuta ghafi imepanda kufikia kiwango cha juu zaidi tangu Januari mwaka huu, baada ya Marekani kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran. Soma, Pia: Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa Kuna hofu kuwa huenda bei hiyo ikapanda zaidi endapo Iran itafunga lango la Hormuz kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…