Hali ni mbaya kwa wamiliki wa Diesel.
===========
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Juni 2026 yameathiriwa kwa kiasi kikubwa na mzozo unaoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran ulioanza tarehe 28 Februari 2026.
Mashambulizi yaliyofanyika kwenye visima vya mafuta, maghala ya...