barabara za tabata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za ndani tabata imekuwa kero isiyoisha

    Tabata ni sehemu maarufu sana kwa wakazi wa Dar es Salaamu, chaajabu eneo hilo haliendani kabisa na jina lake maana kuna kero kubwa ya barabara. Mfano mimi naishi Tabata kisiwani, barabara ni kero sana hasa wakati wa mvua. Najua wengi wameliongelea hili swala lakini mabadiliko hakuna kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…