barabara inyala simambwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nipe Maji

    DOKEZO Barabara ya Inyala - Simambwe iliyojengwa kwa kiwango cha lami, mwaka wa pili tangu ikamilike tayari ina mashimo

    Barabara ya Inyala - Simambwe yenye Kilomita 16.7 Mkoani Mbeya iliyojengwa kwa kiwango cha lami kwa shilingi bilioni 7.05 ikiwa mwaka wa pili sasa tangu kukamilika kwa ujenzi wake tayari imeanza kuwa na mashimo. Kwenu TARURA. Je, ilistahili kujengwa kwa kiwango hiki cha kuwa na mashimo ndani ya...
Back
Top Bottom