Balozi Juma Mwapachu, ambaye amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, amefariki dunia leo Machi 28, 2025 katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Mwili wa Balozi Mwapachu utasafirishwa kwenda Kijiji cha Pande, Kiomoni, Tanga...