Habari
Kampuni mpya ya jaha kutoka china imeleta bajaji mpya zinazotumia umeme, bajaji hizi ni bajaji za abiria na mizigo
Bajaji ya abiria
Bajaji za abiria zipo za aina mbili kuna kubwa na ndogo
Bajaji kubwa Ina uwezo wa kubeba abiria saba na dereva wa nane
Inachajiwa Kwa masaa manane Kwa...