Sekta ya betting nchini Tanzania imeonyesha ukuaji wa haraka, hasa kutokana na ongezeko la michezo ya kubahatisha ya mtandaoni kama Aviator.
Hata hivyo, bado faida nyingi zinatoka nje ya nchi, zikipelekwa kwa makampuni ya kimataifa, na hivyo kupoteza fursa kubwa ya kukuza uchumi wa ndani. Hali...
Mlisema mmekuja kivingine kwa Ile promo nikajua mmejipanga mna site ambayo wadau tutaona live draw inavochezeshwa cha ajabu draw zinaendelea kwa USSD bila mteja kushuhudia matokeo
Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania, leo imetangaza rasmiushirikiano na mtoa huduma kinara wa malipo kwa njia ya simu nchini Selcom Tanzania, ilikuhakikisha Watanzania wanashiriki katika michezo ya bahati nasibu kwa urahisi mara tuBahati Nasibu ya Taifa itakapozinduliwa rasmi. Ushirikiano huu...
Dar es Salaam, 27 Machi 2025. Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania leo imesaini ushirikiano na jukwaa bora la huduma za kifedha kwa njia ya simu hapa nchini, Vodacom M-pesa, Ili kurahisisha miamala ya bahati nasibu ya Taifa na kupanua fursa za kibiashara kupitia mfumo wa fedha wa kidijitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.