Muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge Kigoma Mjini, kada wa CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo anayewania jimbo hilo, amedai kuwa hizo ni njama za kumwepusha kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo...
Wakuu
Nimekutana na clip hii ya Baba Levo akiwa ameulizwa maswali mepesi kabisa na huyu comedian anaitwa Kipotoshi. Hii interview ina miaka takribani minne lakini it is very relevant hata sasa
Yaani anaulizwa muswada ni nini hajui, muswada ni topic ipo form 1 sijui form 2
Soma pia: Baba Levo...
Wakuu
Kumbe huyu jamaa alikuwa serious kuhusu kuchukua fomu na kugombea Ubunge wa Kigoma Mjini
Naona leo amewasili mkoa wa kigoma kwaajili ya kukamilisha hatua za uchukuaji wa fomu za kutia nia ya kugombea ubunge kigoma mjini kupitia tiketi ya CCM
Yaani mtu anaishi Dar lakini anaenda kugombea...
"Hakuna Kazi Nyengine Nitakayoifanya Zaidi Ya Kumsaida Dkt. Samia Suluhu Hassan Ili Akija Katika Jimbo Hili La Kigoma Mjini Sio Kumpigia Tu Kura Tumrundikie"
Baba Levo ameyasema hayo jana Mei 20, Mkoani Kigoma wakati alipokutana na Wanachama wa CCM na kukabidhiwa Kadi ya Uanachama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.