ayoub rioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Dkt Ayub Rioba akana tuhuma za yeye kuwa chawa

    Kwa wale walioamua kuendelea kunitukana na kusema mimi 'chawa' na kwamba sasa ninarudi kushika jembe au kusota, nina ujumbe wenu pia! Nilizaliwa ktk familia ya mwalimu wa shule ya msingi. Niliishi maisha ya Mtanzania wa kawaida kabisa. Wali au sukari vilikuwa vitu adimu. Mnavipata tu siku za...
  2. Just Pray

    PostGE2025 Dkt. Ayoub Rioba wa TBC anasema CNN na wengine walitakiwa kuripoti Serikali ya Rais Samia ilivyopunguza vifo vya mama na mtoto

    Ama hakika uchawa mbaya sana. Kupitia kipindi cha Jambo Tanzania Cha TBC leo Novemba 25, 2025 mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania anasema vyombo vya habari vya magharibi vilitakiwa kutusaidia kuripoti kuhusu serikali ya Rais Samia kupunguza vifo vya mama na mtoto na si yaliyotokea...
Back
Top Bottom