Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee,
Baada ya Kuongea vile hajarudi Tena kutoa way forward
Barabara imekuwa kero Kubwa sana Kwa wasafiri Yani Foleni ya Kufa mtu...