Asma Ali Hassan Mwinyi ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Welezo Zanzibar. Ushindi huo unampa nafasi kubwa ya kupeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Mwenyekiti na Muanzilishi wa Taasisi ya Asma mwinyi foundation, Asma Mwinyi achukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi CCM kuwania Ubunge Jimbo la Welezo Wilaya ya Mfenesini Unguja
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.