askofu stephano musomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Askofu Stephano Musomba: Hakuna mtu anayeweza kulitisha Kanisa Katoliki

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote yule. Amesema, Kanisa Katoliki limeendelea kusimama imara kwa sababu ni Kanisa lililojengwa juu ya...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Askofu Stephano Musomba: Tunawaombea waliouawa wakati wa uchaguzi mkuu, kwa sababu hawa hawajaumwa walipigwa risasi

    Misa Takatifu ya kuwaombea waliouwawa na waliojeruhiwa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 | Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria, Jimbo Katoliki Bagamoyo ikiongozwa na Askofu Stephano Lameck Musomba O.S.A “Tunaadhimisha misa hii nia zetu tatu, kwanza tunawaombea waliouawa...
Back
Top Bottom