askofu nkwande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Askofu Nkwande: Usiue wala usichekelee mauaji, waandamanaji walikuwa wakipaza sauti zao

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande amesema baadhi ya raia waliouawa katika maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata hawakuwa na silaha yoyote badala yake, waandamanaji hao walikuwa tu wakipaza sauti zao. Askofu Nkwande ameyasema hayo wakati wa Misa...
  2. R

    Askofu Nkwande: Waliotufungia ndani ni wenzetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu

    Askofu Nkwande wa jimbo katoliki la Mwanza amelaani vikali mauaji ya raia akisema kwamba "tulifungiwa ndani na waliotufungia ni wenzetu ndugu zetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu". Nkwande aliyasema hayo wakati wa ibada maalumu ya kuwaombea waliouawa...
  3. PostGE2025 Askofu Nkwande: Yaliyotokea Oktoba 29 ni fedhea kwa Taifa

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kilichotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia taifa heshima iliyojengeka kwa miaka mingi kimataifa. Akizungumza leo kwenye misa ya kuwaombea waliopoteza maisha kwenye vurugu zilizotokea wakati na...
  4. Kauli ya Polisi yenye madai ya ‘padri kujipoteza’ yamkwaza Askofu Nkwande

    Kanisa Katoliki jimbo kuu la Mwanza limezungumzia taarifa ya kupatikana Padre Nikata iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, Msikilize Mhashamu Renatus Nkwande. Mhashamu Renatus Nkwande amesema kama Padri huyo alitaka kuacha Upadri yeye askofu alipaswa kujua na wala si mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…