askofu bagonza phd

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Askofu Bagonza (PhD) aipongeza na kuishauri Jamhuri

    NAIPONGEZA JAMHURI na KUISHAURI Wale mnaopenda kuwapopoa kwa mawe wale msiokubaliana nao, nawaomba mnipopoe. Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili “Mtundu” wa Taifa, Tundu Lisu, imeamua kukata rufaa kwa kesi ambayo haijahukumiwa au haijafika mwisho. Wamejuaje kuwa wameshindwa na kuamua...
  2. Anaandika Askofu Bagonza: Nadhani Tunajichanganya? Au ni Mimi Najichanganya?!

    ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?! 1. SAFARI YA VATICAN Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…