Mwaka 1997 nilipoanza kuingia korido za hospitali, nilikuwa najua watu wachache sana. Nilimjua daktari. Nilimjua nesi. Nilimjua mtu wa maabara. Na yule anayekaa dirishani na kuniambia, “Lipa kwanza.” Huyo nilimjua vizuri sana.
Lakini mfamasia? Hapana. Jina hilo halikuwepo kwenye kamusi yangu ya...
Si Ndiyo!
Matumizi ya bangi yanaweza kuhusishwa na hali ya kisaikolojia inayojulikana kitaalamu kama cannabis-induced psychosis, ambayo kwa lugha rahisi inaweza kueleweka kama “kichaa cha bangi”.
“Kichaa cha bangi” ni nini?
Ni hali ambapo mtu anayetumia bangi anaweza kupata psychosis, yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.