Tafiti hii imebaini kuwa kuna matumizi mabaya ya dawa za kupunguza makali ya VVU (ARVs) ambazo kimsingi zimekusudiwa kwa matumizi ya binadamu pekee, sasa zimekuwa zikitumika kulishia wanyama kama kuku, nguruwe na ng’ombe katika baadhi ya maeneo ya Tanzania. Tabia hii siyo tu kuwa ni kinyume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.