arumeru mashariki

Arumeru District (Meru District and Arusha Rural District) is a former district in the Arusha Region of Tanzania. It was bordered to the north, west, and southwest by Monduli District, to the southeast by the city of Arusha, and to the east by the Kilimanjaro Region.
As of 2002, the population of the Arumeru District was 516,814.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    GE2025 Chama cha AAFP chajitoa mbio za ubunge na udiwani majimbo ya Arumeru Mashariki na Magharibi baada ya kuhujumiwa

    CHAMA CHA AAFP WILAYA YA ARUMERU KINATANGAZA KUJITOA KATIKA MCHAKATO WA UCHANGUZI WA UBUNGE NA MADIWANI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI ΚΑΤΙΚΑ MAJIMBO YA ARUMERU MASHARIKI NA ARUMERU MAGHARIBI Chama cha AAFP wilaya Arumeru, Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kujitoa katika mchakato wa uchaguzi wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Joshua Nasari Arejesha Fomu Ubunge Arumeru Mashariki kwa Kishindo

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nasari, ametua kwa kishindo mkoani Arusha na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo hilo ofisi za Tume ya Uchaguzi zilizopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Tukio hilo limehudhuriwa na wananchi...
  3. PAYE

    GE2025 Mpinzani wa Nassari, Johnson Sarakikya aingia rasmi ulingoni amerejesha fomu ya ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki

    Mfanyabiashara maarufu wa mazao anayefahamika kwa jina Johnson Exaud Sarakikya, amerejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Julai 02, 2025.
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mhadhri wa TEHAMA UDSM Mathew Mndeme, autaka Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki

    Msomi na Mhadhiri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mathew Mndeme, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Mndeme amesema kuwa...
  5. W

    GE2025 Joshua Nassari alitaka tena Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM

    "Sasa nafikiri imefika muda ni wakati wa uchaguzi na mwaka wa uchaguzi na mimi nimewiwa kuzisikiliza sauti za watu wa Meru. Nimezisikiliza kisawasawa kwahiyo nimedhamiria na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya kiti cha ubunge Jimbo la Arumeru...
Back
Top Bottom