Leo, tarehe 27 Januari 2026, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi Mkutano wake wa Pili Jijini Dodoma. Kufuatia kuanza kwa mkutano huo, Dkt. Anna Henga (Wakili), Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ameeleza mtazamo wake kuhusu Bunge hilo...