anguko la ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Unabii wa nyerere utabiri wa shehe Yahaya anguko la CCM na udhaifu wa Samia katika utimilifu wa nyakati

    Nyerere alitoa UNABII huu Kwa usahihi kabisa namnukuu. Chama kisichosikiliza maoni ya wananchi kitalia machozi kisipate mtu wa kuyafuta. UNABII umetimia. Haya yanayoendelea ni matokeo ya ccm kutosikiliza maoni ya wananchi watu walitekwa nchi nzima tulipiga kelele sana humu mkashupaza shingo...
  2. S

    PostGE2025 Anguko la serikali ya CCM na vibaraka wao

    Wachungaji, mashekhe na ndugu zangu GenZ na wazazi wetu, CCM na genge lao wametuua na wamekunywa damu zetu na bado wanaendelea kunywa damu zetu kupitia ukatili na dhuluma wanaotufanyia. CCM na tawala zao wanatuwinda kama ndege hakika Mungu awaadhibu kwa adhabu inayofaa na ya kutisha kulingana...
  3. The Father of All

    Tumpongeze na kumshukuru Msigwa kuharakisha anguko la CCM

    Wengi wamekuwa wakimlaumu Garson Msigwa kwa utopolo aliomwaga akidhani anatetea kitumbua kumbe ndo anakishindilia mchanga. Kwa namna 'alivyojitetea na kutetea' serikali yake, amezidi kuchochea moto. Hivyo, tumpongeze na kumshukuru kwa kuwezesha anguko la CCM kuwa rahisi.
  4. Black Opal

    Samia tofauti na Magufuli alikuwa na nafasi nyingi za kurekebisha mambo lakini hakuzichukua, sasa it's too late!

    Kabla ya mtu kuhukumiwa hupata nafasi nafasi za kurekebisha alipoteleza na kurudisha vitu kwenye kwenye mstari. Baadhi huelewa haraka, akipata onyo mara moja ajirudi haraka, wengine ni mpaka ashtuliwe mara tatu nne, na kuna wale sikio la kufa ambao hushupaza shingo mpaka mwisho na kuanguka. Kwa...
Back
Top Bottom