๐ฅ Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? โ Huo ni UONGO!
#4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. ๐ถ
โ ๏ธ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data...