amani na mshikamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Rais Wetu Mpendwa Mama Samia Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka Wakristo na Watanzania Wote. Awaomba kuendelea Kudumisha Amani na Mshikamano

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, komandoo Wa Vita, jasiri muongoza njia, Nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka...
  2. M

    Siasa ni maendeleo si uhasama: Tulinde amani na mshikamano wa taifa kwa maendeleo endelevu

    Katika kipindi hiki tumeshuhudia mijadala ya kisiasa ikizidi kuwa mikali na yenye hisia kali. Hali hii inatukumbusha umuhimu wa kurejea kwenye misingi imara ya taifa letu: amani, umoja na mshikamano. Kwa maslahi ya Taifa, ni vyema wanasiasa, wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wote wa...
  3. Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  4. PostGE2025 Umuhimu wa amani na mshikamano

    Ndugu zangu vijana, Kama kizazi cha leo na kesho, tunabeba nguvu kubwa na nafasi ya kipekee katika kujenga taifa lenye maendeleo na ustawi. Lakini ili tufikie ndoto zetu na kuona taifa letu likisonga mbele, tunahitaji kitu kimoja muhimu sana—amani na mshikamano. Amani si jambo la kawaida; ni...
  5. Wananchi Ileje waaswa kudumisha amani na mshikamano

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa watanzania kuendelea kudumisha umoja, amani, upendo na mshikamano akiamini kwa kufanya hivyo ni kuimarisha Tunu ya msingi wa maendeleo katika Taifa lililoasisiwa na hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume. Bi Mgomi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…