Nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Ally Mayay Tembele, amepata msiba baada ya leo Juni 16, 2025 kufiwa na baba yake mzazi.
Mhasibu wa Chama cha Wachezaji wa Zamani Tanzania (Galacticos), Idd Moshi, amesema kuwa baba wa staa huyo anayejulikana kwa jina la Moshe Tembele, amefariki kwa ajali...