Wakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania...