Ndugu wanajamiiforum! Habari za weekend?
Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa...
Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni.
Natanguliza shukrani
RAIS SAMIA KUHUTUBIA ULIMWENGU KUPITIA BARANa Bwanku M Bwanku.
Mabibi na Mabwana, kesho Alhamisi Septemba 23, 2021 Mwanamke wa shoka Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia ulimwengu kupitia Mkutano Mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani. Rais Samia atahutubia...
TAARIFA KWA UMMA
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...