Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa kulinda amani ya nchi, akisema changamoto wanazokutana nazo haziwezi kutatuliwa kwa vurugu bali kwa hekima na subira.
Akizungumza...
Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Na Amani Tanzania-JMAT Na Balozi wa Amani Duniani Kupitia Shirikisho La Amani Duniani (UPF), akizungumza kupitia Clouds TV leo Oktoba 23, 2025 amesema;
"Sisi kama viongozi wa dini tuna wajibu na tusipofanya hivyo tunapata...
Wakuu,
Tutaona mengi mwaka huu
Amani nayo inatakiwa "kuhamasishwa"? Who is funding this?
===================
Takribani watu 300 wanatarajiwa kushiriki matembezi ya hiari ya kilomita 452 kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, wakidai kuhamasisha amani na maridhiano kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
Nimemsikiliza huyu aliyewahi Kuwa sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, almaarufu Alhad Mussa Salum.
Amekuja na tamko la hiyo wanayojiita kamati ya maridhiano na amani. Anaongea kinafiki, akiomba viongozi wa Dini kutorushiana maneno kutokana na kadhia ya mkataba wa DP-WORLD.
Ameenda mbali na kusema...