Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi, saa chache tu baada ya kukamatwa na maafisa wa DCI huko Homa Bay na kusafirishwa hadi Nairobi.
Soma Pia: Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X...