ajira za halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kujiunga ajira za halmashauri

    Nilipata ajira ya mkataba pale halmashauri ya ubungo,toka tarehe 9 mwezi wa 4 ndio mchakato ulikamilika , Hadi sasa kimya hatujapigiwa simu za kupewa orientation/semina na kuanza kazi Je Huwa wanachukua muda gani ? Nawasilisha
  2. JamiiForums Tanzania Kero na changamoto za kufanya kazi (kuajiriwa) kwenye Halmashauri

    Kama Kichwa kinavosema. Baada ya kumaliza Chuo 2018 na kufanya kazi kwenye Sekta binafsi niliona ni kupoteza muda na mateso pale unapokaa miezi hadi mitatu bila mshahara nikaamua niache kazi na kujiajiri kwa kufanya biashara. Ila sijawahi kupigika na maisha kama 2022 mwaka nilioamua kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…