Watu watano wakiwemo Raia watatu wa Kigeni wa nchi za Kenya na Italy Watumishi wa Mashirika ya Kanisa Katoliki, wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa, baada ya gari dogo Toyota Land Cruiser namba T 852 DGP, mali ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Bukumbi waliyokuwa wakisafiria, kugongana uso kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.