Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari.
Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa ajali ya magari mawili kugongana na kuwaka moto na kusababisha vifo na majeruhi.
Tukio hilo limetokea December 31, 2025 jioni huko eneo la kijiji cha Maseyu, kata ya Gwata, Wilaya ya Morogoro ambapo gari T.162 DMD aina ya Mitsubishi Fuso kampuni ya Bill...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.