Gari iliyobeba mwili wa Marehemu aliyekuwa katibu wa UWT mkoa wa Mbeya, Lucy Sulle, kutokea mkoani Mbeya ukielekea mkoani Babati kwa ajili ya mazishi, nalo limepata ajali maeneo ya Chemba, saa 10 alfajiri huku watu kadhaa wakiwa wameumia na kupelekwa hospitali ya Chemba kwa ajili ya matibabu...