Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! π± Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. π¨πΈπ¬
Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake.
πΌοΈ Photoshop β...