Salaam jamiiforum
Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si wote,wapo ambao mambo yao hubebwa na bahati pia
Ni rahisi kukuta kijana mdogo asiye na Elimu kubwa kuwa...