ahmed arajiga

Ahmed Ally Arajiga (pia anajulikana kama Ahmed Arajiga) ni mwamuzi wa mpira wa miguu (referee) kutoka Tanzania. Maelezo Muhimu:
  • Tarehe ya kuzaliwa: 3 Julai 1991 (umri miaka 34)
  • Mkoa wa asili: Manyara
  • Alianza kuchezesha Ligi Kuu Tanzania (NBC Premier League) mwaka 2018.
  • Aliingia kwenye orodha ya FIFA International Referees tangu mwaka 2022.
  • Ni mmoja wa waamuzi bora na anayeaminika sana Tanzania kwa sasa.
Mafanikio na Uteuzi:
  • Hupewa mechi kubwa za CAF mara kwa mara (CAF Champions League, Confederation Cup, CHAN, U-17 AFCON n.k.).
  • Mifano ya hivi karibuni:
    • Aliteuliwa kuwa Fourth Official katika mechi za nusu fainali za CAF Champions League.
    • Alisimamia mechi za U-17 Africa Cup of Nations (k.m. Algeria vs Ghana).
    • Alikuwa Centre Referee katika CHAN 2024/2025
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ahmed Arajiga amekataa kuchezesha Derby ya June 15

    Ahmed Arajiga na set nzima ya waamuzi wametuma barua Kwa Bodi ya ligi kuwa hawako tayari kuchezesha Derby hiyo hadi Bodi ya ligi itakapoweka sawa mgogoro Yao na timu zinazoshiriki hiyo derby, maana ni wazi Yanga ameweka msimamo wao wazi kuwa hawachezi Mwamuzi kama Arajiga amejitengezea CV kubwa...
  2. JamiiForums Tanzania CAF wamteua Ahmed Arajiga kuchezesha robo fainali ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) kati ya Pyramids FC na FC FAR

    Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Pyramids FC ya Misri na FC FAR ya Morocco. Soma: Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga wameshinda derby 3 kati ya 4 za mwisho alizochezeha Ahmed Arajiga

    Takwimu zinaibeba Yanga, mechi za derby za mwisho alizochezeha Ahmed Arajiga Mwamuzi Ahmed Arajiga amechezesha michezo minne ya derby kati ya Yanga na Simba, ambapo Yanga wameshinda mechi tatu na moja Simba. Hizi ni takwimu za matokeo ya michezo aliyochezesha Arajiga: Yanga 2-1 Simba...
  4. JamiiForums Tanzania AHMED ARAJIGA kuchezesha Derby tarehe 8

    Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8. Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
  5. JamiiForums Tanzania Ahmed Arajiga kwanini hapewi kuchezesha mechi za Simba?

    Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za Yanga 6 Yanga lakini hajapewa mchezo wowote wa Simba auamuwe. Simba wamekuwa walipewa waamzi...
  6. JamiiForums Tanzania Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025

    Marefa wawili wa Tanzania, Frank Komba na Ahmed Arajiga, wamechaguliwa miongoni mwa marefa 65 watakaosimamia mechi za Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2025 zitakazofanyika Kenya, Uganda, na Tanzania kuanzia Februari 1 hadi 28, 2025. Ahmed Arajiga Arajiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…