agrey mwanri

Aggrey Mwanri (Aggrey Joshua Mwanri) ni mmoja wa wanasiasa na viongozi wa umma mashuhuri na wanaopendwa zaidi nchini Tanzania, anayefahamika kwa mtindo wake wa kipekee, wa kiigizaji (theatrical), na wenye nishati mwingi sana (high energy) katika uongozi.

Amehudumu katika nafasi mbalimbali kubwa za kiserikali, lakini alijizolea umaarufu mkubwa kitaifa na kuwa "viral" kwenye mitandao ya kijamii alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora (chini ya serikali ya Awamu ya Tano).
  1. JamiiForums Tanzania Super Sub ya Agrey Mwanri iliyofanywa na CCM itarudisha matumaini ya Wafuasi na wanachama wa CCM?

    Habari za Sabato! Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM. Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi. Amewasilisha hotuba...
  2. JamiiForums Tanzania Aggrey Mwanri ateuliwa Kuwa Naibu katibu Mkuu wa CCM, RC Chacha kuwa Katibu wa Oganaizesheni CCM

    Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), imemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na mbunge wa zamani wa Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, Aggrey Mwanri kuwa Naibu Katibu Mkuu- Bara akichukua nafasi ya John Mongella. Aidha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), imemteua Mkuu wa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Aggrey Mwanry arejesha fomu asema hatua iliyobaki ni kumuomba Mungu

    Baada ya kurejesha rasmi fomu ya kuwania nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), mmoja wa watia nia ameeleza kuwa hatua iliyobaki sasa ni kumuomba Mungu ili aweze kupata kibali cha kuteuliwa na chama hicho. Akizungumza mara baada ya kukamilisha zoezi la kurejesha fomu, mtia nia huyo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Meijo Laizer ajitosa kugombea Ubunge Siha kupitia CCM, kuchuana na Agrey Mwanri

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, Meijo Loloinyo Laizer, leo Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Siha kupitia chama hicho. Meijo, ambaye pia ni mmoja wa waliowahi kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyewahi kuwa RC Tabora, Agrey Mwanri aitaka Siha, asema Bungeni hawaendi kina Tyson

    Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro. Mwanry amechukua Fomu hiyo mapema leo Asubuhi akiwa ameambatana na mkewe. "Wanadai mimi ni mzee, Bungeni hawaendi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Agrey Mwanri mtu sahihi ukirudi bungeni

    Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena Ukienda Tabora imekuwa Toronto na...
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

    Wawekezaji kutoka China wakiendelea na shughuli za uwekezaji wa biashara zao Jijini Dar. Pia soma Samia: Msiruhusu Wageni Kufanya Biashara za Wenyeji ==== UNAPOTEMBEA katika Mitaa ya Agrey, Nyamwezi, Livingstone, Swahili na Congo jijini Dar es Salaam, ni kawaida kuona raia wa kigeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…